Luke 4:14-15

14 aKisha Isa akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. 15 bAkaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu.

Isa Akataliwa Nasiri

(Mathayo 13:53-58; Marko 6:1-6)

Copyright information for SwhKC